Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya RS Berkane wametinga hatua ya Fainali kwenye Kombe la Throne (Throne Cup) mara baada ya kushinda jumla ya magoli matano kwa manne kwa mikwaju ya penati dhidi ya Fus Rabat mchezo uliopigwa katika dimba la Fez Stadium huko Morocco.
Rs Berkane watakutana na klabu ya Raja Casablanca kwenye hatua ya Fainali ambapo walifanikiwa kushinda dhidi ya Wydad Casablanca.
Mshindi wa Kombe la Throne (Throne Cup) ndiye atakayeshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC kwenye msimu ujao wa 2023/24.
Post a Comment