Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
“Wakati natoka United walikosoa sana kwa kuja kwenye Ligi ya Saudi, lakini nini kilifanyika sasa?
"Ndani ya mwaka mmoja, wachezaji wengi wa juu zaidi watakuja Saudia na nina uhakika mwaka mmoja unatosha kwa ligi ya Saudi kuzipita ligi ya Uturuki na ligi ya Uholanzi.
“Ligi ya Saudi ni bora kuliko MLS, nina uhakika 100% sitarejea katika klabu yoyote ya Ulaya, nilifungua njia ya ligi ya Saudia na sasa wachezaji wote wanakuja hapa.
“Sitarudi kwenye soka la Ulaya, mlango wa kurudi huko tauari umefungwa kabisa. Kwanza nina umri wa miaka 38, pia soka la Ulaya limepoteza ubora mkubwa, Premier League pekee ndio wako mbele zaidi ya ligi zingine zote," amesema Ronaldo.
Post a Comment