Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mshambuliaji wa Brazil, Roberto Firmino (31) amesajiliwa na Al-Ahli ya Saudi Arabia kwa uhamisho huru kutoka Liverpool.
Firmino amesaini Mkataba halali wa miaka mitatu hadi Juni 2026, Mshahara €20M kwa mwaka.
Michezo 362, mabao 111, assist 79 + makombe 7 akiwa na Liverpool FC, aliyojiunga nayo mwaka 2015.
Post a Comment