Rasmi Barca wamtema Samuel Umtiti

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Barcelona imethibitisha kusitisha mkataba wa beki Samuel Umtiti baada ya pande mbili kuafikiana.


Umtiti, 29, alijiunga na Barca akitokea Lyon kwenye majira ya kiangazi mwaka 2016 na amecheza mechi 134 na kufunga mabao mawili katika kipindi chake alichotumikia miamba hiyo ya Hispania.


Akiwa na Barca, Umtiti alishinda La Liga mara mbili na Copa del Rey mara tano.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post