Ni Yanga vs Azam, Simba vs Singida Ngao ya Jamii

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani ratiba ya mechi za Ngao ya Jamii ambazo zitapigwa mkoani Tanga, mwezi August 2023


Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wataumana na Azam Fc katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ambao utapigwa August 09 katika uwanja wa Mkwakwani, saa 1 usiku


Simba itaumana na Singida FG katika mchezo utakaopigwa August 10 katika uwanja huohuo wa Mkwakwani


Washindi wa mechi za nusu fainali watakutana kwenye fainali itakayopigwa August 13 wakati timu zitakazofungwa zitachuana kusaka mshindi wa tatu mapema katika ya mechi ya fainali

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post