Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni ni kwamba Mtine raia wa Zambia ameondoka ndani ya Klabu ya Yanga baada ya kutofautiana na uongozi wa klabu hiyo kuhusu masuala ya fedha.
"Hapana sijaondoka Yanga sc ila nilikuwa likizo, na narudi leo Tanzania majira ya saa 18:10 jioni," amesema Mtine.
Post a Comment