Mrithi wa Mayele atua Dar kimya kimya, asaini miwili

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mashabiki wa Yanga wanadai kitu pekee ambacho kimesalia kwenye kikosi chao ni kusajiliwa mshambuliaji anayejua kufunga na hilo nalo limeisha baada ya mabosi wao kumshusha kimyakimya mshambuliaji Emmanuel Mahop kutoka Cameroon.


Unavyosoma taarifa hili tayari Mahop yupo nchini anasubiri kuanza maisha mapya Yanga akija kuchukua nafasi ya mfungaji bora, Fiston Mayele aleyeuzwa kwa Pyramids FC.


Rekodi ya Mahop ndiyo iliyowashawishi mabosi wa Yanga baada ya kufanikiwa kufunga mabao 15 katika mechi 20 za Ligi ya Cameroon.


Yanga wanatarajia Kkumtambulisha mchezaji huyo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Vital ya Congo.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post