Mount asaini miaka mitano Man United - EDUSPORTSTZ

Latest

Mount asaini miaka mitano Man United

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Manchester United wamemsajili Kiungo wa Chelsea na Timu ya Taifa ya England Mason Mount kwa mkataba wa miaka mitano, kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi


Mount mkataba wake ndani ya Mashetani Wekundu utamalizika Juni 2028, na atakuwa na nafasi ya kuongeza mwaka mmoja.


Man United walelipa kiasi cha Pauni Milioni Milioni 60, ambazo zitalipwa kwa awamu mbili wakianza na Pauni Milioni 55.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz