Morisson arudi Avic Town, uso kwa uso na Mkude

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Leo Julai 19, Aliekuwa nyota wa Yanga raia wa Ghana Super Ben Morrison alienda katika kambi ya Yanga ambayo ipo Avic Town Kigamboni kuwasalimia.


Ndipo alikutana na mchezaji mwenzake Mkude ambaye walicheza pamoja wakati wakiwa Simba SC na kuibua furaha baina yao.


Ni Wapi Morrison atacheza msimu mpya? tutafahamu karibuni.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post