Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kupitia ujumbe alioweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, Mo amesema aanakatishwa tamaa na kuchelewa kumalizika kwa mchakato huo kumalizika
Nani anakwamisha mchakato huu? Nafikiri wakati umefika kwa wale wanaokwamisha kuwekwa hadharani ili Wanasimba wawafahamu kuwa hao ndio maadui wa maendeleo ya klabu ya Simba na soka la Tanzania kwa ujumla
Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa.
— Mohammed Dewji MO (@moodewji) July 11, 2023
Post a Comment