Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga alamba uteuzi FIFA

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick amteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa mmoja wa Wanasheria wa Shirikisho hilo ambao wataisaidia FIFA katika masuala ya kisheria ya Wachezaji


Simon ni Mtanzania pekee katika jopo la Wanasheria 21 kutoka nchi mbalimbali dunia, ataitumikia FIFA kwa miaka mitatu


Huu ni uteuzi wa pili kwa Simon kuhudumu katika Taasisi za Kimataifa. Mwanzoni mwa mwaka jana aliteuliwa kuwa Wakili Msaidizi wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post