Winga wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya PSG Kylian Mbappe amewekewa mshahara wa kufa mtu iwapo atajiunga Klabu ya Al Hilal.
Kylian Mbappé amewekewa mshahara wa €700m huko Al-Hilal kwa msimu 1, na mchanganuo wa mshahara wake utakuwa kama ifuatavyo;
Mwaka £600m = Tsh 1,882,249,020,000 (zaidi ya Trilioni 1)
Mwezi £50m = Tsh 156,851,395,500 (Zaidi ya Bilioni 150)
Siku £1.64m = Tsh 5,143,931,832 (zaidi ya Bilioni 5)
Saa £68.5k = Tsh 214,845,713 (Zaidiya Milioni 214)
Dakika £1.1k = Tsh 3,450,077 (Zaidi ya milioni 3)
Sekunde £19 = Tsh 59,592 (Zaidi ya Elfu 50)
Post a Comment