Mayele kukabidhi Jezi Namba 9 kesho kwa Mkapa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Fiston Kalala Mayele kuagwa siku ya kesho Julai 22 kwenye kilele cha Siku ya Wananchi Jiji Dar es Salaam (Kwa Mkapa),


Fiston Kalala Mayele ameshauzwa na klabu ya Yanga na sasa ni Mchezaji halali wa klab ya Pyramids Kwa dau linalokadiriwa kufikia Bilioni 2.8


Fiston Pia siku ya Kesho atamkabidhi Mrithi wake ndani ya Yanga Jezi namba 9 aliyokuwa akiitumia klabuni hapo.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post