Matokeo Nyasa Big bullets vs Yanga Leo mchezo wa kirafiki - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Nyasa Big bullets vs Yanga Leo mchezo wa kirafiki


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Nyasa Big Bullets dhidi ya Yanga umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Yanga ikisheheni nyota wengi kutoka kwa kikosi cha U20, iliwapa wakati mgumu Nyasa Big Bullets ambayo walitumia kikosi chao cha kwanza kusaka ushindi katika mchezo huo wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi

Kocha Said Maulid amewapongeza vijana wake kwa kuonyesha mchezo mzuri licha ya kutokuwa na uzoefu katika mechi za Kimataifa

Nyota wa kikosi cha kwanza walioshiriki mchezo huo ni Metacha Mnata, Joyce Lomalisa, Clement Mzize, Chrispine Ngushi na Denis Nkane ambaye hata hivyo alipata majeraha na kulazimika kupatiwa matibabu ya dharura

Waganda Moses Aliro na Sharifu Kimbowa ambao wapo Yanga kutoka klabu ya Wakiso Fc kwa makubaliano ya ushirikiano, walishiriki mchezo huo uliochezwa kwa dakika 70 kila kipindi kikichezwa dakika 35


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz