Maguire akasirika kuvuliwa Unahodha Man United

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Harry Maguire amekasirika na sasa yupo tayari kuachana na Manchester United baada ya kuvuliwa kitambaa cha unahodha. Maguire alichukizwa, kukasirishwa na kushangazwa na uamuzi wa kocha Erik ten Hag kumvua unahodha na alimwambia hilo wakiwa mazoezini juzi.


Maguire, 30, anafahamu nyakati za kubaki Old Trafford zimefika ukomo wakati huu West Ham, Tottenham na Newcastle zikipiga hesabu kumsajili, huku Chelsea wakiwa tayari kuingia kwenye mbio za kunasa huduma ya beki huyo wa kati.


Maguire aliandika:

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post