Mabosi Man United wapitisha usajili wa Hojlund

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wamiliki wa Manchester United, Familia ya Glazer wanadaiwa kulazimika kuidhinisha usajili wa straika wa Atalanta, Rasmus Hojlund mwenye umri wa miaka 20, kama njia mojawapo ya kuwawezesha kuiuza timu hiyo kwa kiasi cha pesa inachohitaji kwani bila ya kufanya hivyo itapunguza thamani ya timu.


Wamiliki wa Manchester United, Familia ya Glazer wanadaiwa kulazimika kuidhinisha usajili wa straika wa Atalanta, Rasmus Hojlund mwenye umri wa miaka 20, kama njia mojawapo ya kuwawezesha kuiuza timu hiyo kwa kiasi cha pesa inachohitaji kwani bila ya kufanya hivyo itapunguza thamani ya timu. Hadi sasa mazungumzo baina ya Atalanta na Man United juu ya staa huyo wa kimataifa wa Denmark yamefikia hatua nzuri.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post