Kocha mkuu wa Yanga atua Dar usiku Mnene

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amewasili nchini Alfajiri leo akitokea Hispania


Ujio wa kocha huyo ni ishara sasa kazi inaanza ambapo siku ya Jumatatu atawakaribisha wachezaji wake pale Avic Town


Aidha wakati wowote Yanga itatangaza benchi la ufundi kabla na kuanza zoezi la kutangaza wachezaji wapya, zoezi linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga


Gamondi alipewa nafasi ya kuamua watu ambao atafanya nao kazi katika benchi la ufundi hivyo Wananchi watarajie kuona mabadiliko ya baadhi ya watu katika benchi lake


Nafasi zinazosubiriwa kutangazwa ni Kocha Msaidizi, Kocha wa magolikipa, Kocha wa viungo na mchambuzi wa sayansi ya mpira (Football Analyst)

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post