Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Leo saa 2:00 usiku mbashara kupitia #AzamSports1HD kibegi kilichopandishwa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro kwaajili ya uzinduzi wa jezi mpya za Simba SC kitapigwa mnada maalum pamoja na jezi zilizokuwemo.
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Leo saa 2:00 usiku mbashara kupitia #AzamSports1HD kibegi kilichopandishwa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro kwaajili ya uzinduzi wa jezi mpya za Simba SC kitapigwa mnada maalum pamoja na jezi zilizokuwemo. Pesa zitakazopatikana kwenye mnada huo zitatumika kuchangia ujenzi wa wodi za Mama na Mtoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Hospitali ya Zanzibar.
Post a Comment