Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Bondia Mtanzania Karim Mandonga amepigwa na Bondia wa Uganda Moses Golola kwa TKO (Technical Knock Out) round ya tatu katika pambano lililochezwa jijini Mwanza. Ndani ya siku 8 Mandonga amepigana mapambano mawili na yote amepigwa ambapo July 22 2023 alipigwa na Bondia Daniel Wanyoni wa Kenya.
Post a Comment