Jean Baleke aaga Rasmi aandika haya

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wakati fununu za uhamisho wa wachezaji zikiendelea kushamiri mshambuliaji wa Simba SC, Jean Othos Baleke amezua sintofahamu baada ya kuonekaba kuaga Tanzania.


Kupitia Insta-Story yake, Baleke ameonekana akiwa kwenye ndege akiambatana na Wakala wake huku kukiwa na maneno ya kuaga yanayosomeka “GOOD BAY TANZANIA”.


Hii ni ishara tosha kuwa habari ya utumishi wa Mkongomani huyo mwenye umri wa miaka 22 ndani ya Simba SC imeishia msimu uliopita.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post