Hivi hapa Viingilio Wiki ya Mwananchi - EDUSPORTSTZ

Latest

Hivi hapa Viingilio Wiki ya Mwananchi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kilele cha Wiki ya Mwananchi 2023 ni Julai 22 pale uwanja wa Benjamin Mkapa kwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs


Shamra shamra za Wiki ya Mwananchi zimeanza leo ambapo uzinduzi wake rasmi utafanyika Jumamosi jijini Mwanza katika viwanja vya furahisha


Ni wiki ya burudani na matukio mbalimbali ya kurejesha kwa Jamii


Yanga imetangaza viingilio vya tukio kubwa ambapo kiingilio cha chini Mzunguuko ni Tsh 10,000/-




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz