Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Rais wetu si kwamba atakuwa mgeni mualikwa tu bali ameteuliwa kuwa miongoni mwa watakaopata nafasi ya kuzungumza mbele ya mkutano huo ambao unawakusanya viongozi wengi wa soka kwenye kila kona ya Afrika.
Pia, Rais wetu kwa kukubali mwaliko huo amesema kuwa atazungumza kwa lugha ya kiswahili kama sehemu ya kukuza lugha yetu ya taifa, imesema taarifa
Post a Comment