Djuma Shaban kutimkia TP Mazembe

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mbavu ya kulia ya Yanga SC, Djuma Shaban ipo kwenye mipango na Klabu ya TP Mazembe ya nchini kwao DR Congo.


Imearifiwa kuwa, Yanga tayari wapo kusikiliza ofa ya TP Mazembe kutokana na DJUMA kuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga.


Muda wowote kuanzia sasa dili la Djuma na Mazembe huenda likakamilika na urahisi wa Yanga kumuachia unakuja baada ya kukamilisha dili la Yao Khouassi Attohoula.


Djuma kwa sasa anafanya Mazoezi binafsi na hajajiunga na Kambi ya Yanga ya kuanza msimu mpya kwa maana ya Pre Season kule Avic Town akiwa anasikilizia jambo lake litimie.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post