Dili la sakho kutimkia ufaransa lafikia patamu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Tetesi ndani ya Simba zinaeleza kuwa mazungumzo baina ya klabu ya Simba SC na Uongozi wa klabu ya Caen inayoshiriki ligi daraja la kwanza Ufaransa yameshakamilika na kinachoendelea sasa ni mazungumzo binafsi yao, yaani klab ya Caen na uongozi wa pape Sakho.


Tetesi ndani ya Simba zinaeleza kuwa mazungumzo baina ya klabu ya Simba SC na Uongozi wa klabu ya Caen inayoshiriki ligi daraja la kwanza Ufaransa yameshakamilika na kinachoendelea sasa ni mazungumzo binafsi yao, yaani klab ya Caen na uongozi wa pape Sakho. Raia huyo wa Senegal, amebakisha Mwaka mmoja katika Mkataba wake na Klabu ya Simba SC.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post