Wachezaji wawili wa Klabu ya Yanga SC ,Kiungo Mshambuliaji Stephanie Aziz Ki pamoja na golikipa wa Klabu hiyo,Djigui Diarra wapo safarini kuja Tanzania tayari kwa kujiunga na Kambi ya timu hiyo iliyopo AVIC Town ili kujiandaa na Sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa,Jijini Dar Es Salaam
Wachezaji wawili wa Klabu ya Yanga SC ,Kiungo Mshambuliaji Stephanie Aziz Ki pamoja na golikipa wa Klabu hiyo,Djigui Diarra wapo safarini kuja Tanzania tayari kwa kujiunga na Kambi ya timu hiyo iliyopo AVIC Town ili kujiandaa na Sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa,Jijini Dar Es Salaam Yanga wanatarajia kutumia mchezo huo kutambulisha nyota wao wapya huku wakicheza Mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini Julai 22.
Post a Comment