Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Chilunda ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Azam Fc
Mshambuliaji huyo huenda akatua Msimbazi kuchukua nafasi ya Habibu Kiyombo aliyetolewa kwa mkopo
Chilunda ni mchezaji wa ndani, ana uzoefu wa kutosha kwenye ligi na soka la Kimataifa akiwa amewahi kucheza soka la kulipwa Hispania na Morocco
Kama Simba itamsajili ni wazi atakuwa 'back-up' kwa washambuliaji waliopo na pia kutumika katika baadhi ya mashindano
Simba inahitaji kuwa na kikosi kipana kutokana na mashindano mengi ambayo watashiriki msimu ujao
Ngao ya Jamii, Ligi Kuu, kombe la Shirikisho la Azam, CAF Champions league, African football league na kombe la Mapinduzi ni takribani mashindano sita
Post a Comment