Breaking: Yanga yatambulisha chuma kipya kutoka uganda

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kati GIGGY GIFT FRED 🇺🇬 kutoka SC Villa kwa Mkataba wa mwaka mmoja.

Fred ni beki bora wa Ligi ya Uganda msimu uliomalizika..

Giggy (24) amesaini mkataba huo na Yanga akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika na Villa mwezi uliopita.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post