Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ndao anachukua nafasi ya Cedric Kaze ambaye mkataba wake umemalizika
Ndao ambaye amewahi kucheza na kufundisha klabu ya Wydad Athletic, ni pendekezo la Kocha Miguel Gamonidi
Klabu ya Yanga imemshukuru na kumtakia kila la kheri Kaze ambaye amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichoshinda mataji saba katika misimu miwili
Post a Comment