Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Baada ya kumtambulisha Winga Nickson Kibabage, Mlinzi Gift Fred kutoka Uganda, Kiungo Jonas Gerald Mkude alieachana na watani zao Simba SC.
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga imeendelea kuboresha kikosi chake baada ya leo kumtambulisha winga Maxi Mpia Nzengeli ukiwa ni usajili wao wa nne katika Dirisha hili kubwa la Uhamisho.
Nzengeli aliekuwa anachezea AS maniema amesaini Mkataba wa Miaka miwili na Yanga. Ujio wa Nzengeli ni kama Yanga wamekuja kuziba nafasi za mawinga wao Bernard Morisson na Tuisila Kisinda walioachana nao mwishoni mwa msimu uliopita.
Post a Comment