Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Uongozi wa klabu ya Simba, umefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa, Willy Essomba Onana (23) raia wa Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili.
Onana amesajiliwa kutoka Rayon Sports ya Rwanda ambapo msimu uliopita aliibuka mchezaji bora wa ligi kuu nchini humo.
Mchezaji huyo ndiye ingizo jipya la kwanza kwenye kikosi cha Simba ikiwa ni sehemu ya maboresho kuelekea Msimu mpya wa Ligi 2023/24.
Post a Comment