Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ni rasmi Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Aubin Kramo kutoka klabu ya Asec Mimosas
Kramo ametua Simba kwa mkataba wa miaka miwili
Mwamba kwelikweli, anatua Msimbazi kuongeza makali eneo la ushambuliaji
Kama msimu uliopita Simba ilifunga zaidi ya mabao sabini kwenye ligi kuu, msimu ujao rekodi inaweza kuandikwa
Kwani eneo hilo sasa lina Essomba Onana, Kramo, Saido, Chama, Baleke, Phiri ni hatariiiiiii
Post a Comment