Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ni rasmi Luis Miquissone amerejea nyumbani baada ya misimu miwili. Simba imetangza rasmi kumsajili Miquissone kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea klabu ya Al Ahly
Wanasimba walisubiri kwa hamu urejeo wa Miquissone, Rais wa heshima wa Simba Bilionea Mohammed Dewji anastahili pongezi kwa kukamilisha ndoto ya Wanasimba
Haikuwa rahisi lakini imewezekana Miquissone ni Mnyamaaaa kwa mara nyingine
Post a Comment