Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano na klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa kumnunua mchezaji Pape Sakho. Simba imetumia mitandao yake ya kijamii kumtakia kila la kheri Sakho kwenye timu yake mpya.
Post a Comment