Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kibabage ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kushoto na winga, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga
Kibabage atajumuishwa kwenye kikosi cha Yanga kitakachosafiri kwenda Malawi kwa ajili ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets Julai 06 katika maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Malawi
Post a Comment