Boateng, Coman, Kimmich watua Serengeti

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wachezaji kutoka Bayarn Munchen, Joshua Kimmich, Kingsley Coman na aliyekuwa beki wa timu hiyo, Jerome Boateng wote kutoka Taifa la Ujerumani wapo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti iliyopo Tanzania kufanya utalii.


Wachezaji hao kwa sasa wako likizo kwa kipindi hiki ambacho ligi mbalimbali duniani zimemalizika kabla ya kuanza upya kuanzia mwezi Agosti mwaka huu.


Wajerumani hao wamekuja Tanzania wakiwa na wapenzi wao.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post