Barbara azidi kukichafua huko Twitter

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Aliyekuwa CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez ameendelea kukinukisha huko Twitter kwa kuandika jumbe zake tata.


Mapema hii leo Julai 14, 2023, Barbara ameweka ujumbe mpya uliosomeka hivi:


"Ulevi wa madaraka haujawahi kuwa na mwisho mwema."


Kama kawaida ujumbe huo umezua mjadala na watu kuhoji ni kitu gani kilichopo nyuma ya jumbe hizo zinazoonekana kama kuna watu anawalenga.


Kabla ya ujumbe huo, Barbara aliandika jumbe nyingine tata ambazo pia ziliibua mjadala wa kutosha.


"Usilipize ubaya kwa ubaya, lakini usiwe mnyonge kudai haki zako!"


"Hauwezi kudhulumu haki za watu halafu ukataka amani na mafanikio."

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post