Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mbona msimu ujao watakoma. Klabu ya Azam FC imemtambulisha mshambuliaji Alassane Diao kutoka US Goree ya kwao, Senegal.
“Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji hatari kutoka Senegal, Alassane Diao, akitokea US Goree,” imesema taarifa ya Azam FC.
Huyo anakuwa mchezaji mpya wa tatu tu Azam FC baada ya viungo mzawa, Feisal Salum Abdallah na Mgambia Djibril Silla.
Post a Comment