Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Hiyo ni kufuatia sare tasa ya wapinzani wao wa karibu, Yanga SC dhidi ya Mbeya Kwanza jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam baada ya Azam FC kushinda 4-0 dhidi ya African Sports, katika mchezo uliotangulia.
Azam FC iliingia kwenye mchezo huo ikiwa mbele kwa pointi tatu dhidi ya Yanga na baada ya matokeo ya jana sasa inaongoza kwa pointi tano kuelekea mechi moja moja za mwisho.
Post a Comment