Asanteni wananchi - Kaze

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amewaaga mashabiki na wanachama baada ya kuondoka rasmi katika kikosi cha mabingwa hao wa Tanzania Bara


Kaze amekuwa sahemu ya mafanikio ya Yanga katika misimu miwili iliyopita akishinda mataji saba


Kaze amesema zama zake na Yanga zimefika mwisho lakini anashukuru kwa mafanikio na ushirikiano aliopata kutoka kwa familia yote ya Wanayanga


"Imekuwa safari nzuri ya miaka miwili na nusu na Young Africans. Tumeshinda Mapinduzi Cup, Ngao ya Jamii (2), Mabingwa wa Ligi (2) na Kombe la FA (2) na Mshindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika"


"Ni wakati wa kusema kwaheri na kuitakia Klabu kila la kheri. Wananchi Asante kwa ushirikiano wako katika kipindi chote tukiwa pamoja. Kwa Wenzangu, Wafanyikazi kutoka Avic Town na kwa Wachezaji, haingewezekana bila bidii yenu na kujitolea"


"Kwa Menejimenti chini ya Rais Eng Hersi Said, kazi yako bora zaidi ya nyuma ya pazia imekuwa muhimu kwa Mafanikio," aliandika Kaze kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post