Arsenal yakamilisha uhamisho wa Rice kutoka West Ham kwa dau la £105m

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Arsenal imethibitisha usajili wa kiungo wa kati wa England Declan Rice kutoka West Ham kwa dau la £100m Pamoja na nyongeza ya £5m.


Tangazo hilo la the Gunners linajiri baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 kuandikia barua mashabiki wa West Ham akisema jinsi ilivyokuwa vigumu kwake kufanya uamuzi huo mgumu wa kuondoka katika klabu hiyo.


Rice ametia Saini kandarasi ya miaka mitano na Arsenal mkataba ambao una fursa ya mwaka mmoja Zaidi.


Nimekuwa nikiitazama Arsenal katika misimu michache iliopita na na mwelekeo wao, alisema. Sio msimu uliopita lakini msimu kabla ya msimu uliopita , walimaza katika nafasi ya tano , lakini ungeweza kuona mbinu ya mchezo ambayo Mikel Arteta alikuwa akiidhinisha.


“Msimu uliopita ulikuwa mzuri sana , wakifanikiwa kuzishinda timu zote isipokuwa Manchester City pekee” alisema

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post