Alicho kiandika Ahmed Ally kuhusu mchezaji atakaye tambulishwa Leo saa 7

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 𝐖𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐒𝐚𝐚 𝟕:𝟎𝟎 𝐌𝐜𝐡𝐚𝐧𝐚


𝐒𝐢𝐟𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐳𝐚 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐦𝐩𝐲𝐚


Huu ndo usajili bora tangu dirisha la usajili lifunguliwe msimu huu nchini Tanzania

Mchezaji anatoka Taifa la mpira 

Mchezaji amefunga magoli mengi

Mchezaji ana assist nyingi

Mchezaji ana tuzo nyingi 

Mchezaji anatokea kulia,  kushoto, katikati

Mchezaji huko alikotoka timu pinzani zimeshukuru kuondoka kwake maana alikua anawatesa

Mchezaji bado kijana na ana uwezo mkubwa

Mchezaji ana uwezo wa kuchezea mpira na kupiga mashuti ya mbali


𝐇𝐚𝐩𝐚 𝐭𝐮𝐦𝐞𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post