Al hilal kumburuza mahakamani aliyetekwa na Simba Airport jana

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Al Hilal imetangaza kuwa itawachukulia hatua za kisheria wachezaji wake watatu kwa kuvunja mikataba yao kwa kile walichodai kuwa na sababu halali (just cause) ya kuondoka klabuni hapo.


Kupitia taarifa yake kwa umma juu ya hatua ya wachezaji hao ambao ni Lamine Jarjou, Fabrice Ngoma, na lbrahim Imoro klabu hiyo imesema:-


“Wachezaji wetu Fabrice Ngoma, Lamine Jarjouna lbrahim Imoro kwa masikitiko wamevunja mikataba yao kwa kile walichodai kuwa ni ‘sababu halali’. Hatukubali na tutaanza hatua za kisheria dhidi yao.”


NB: Miongoni mwa watakaoburuzwa kortini ni yule anayesemekana kuwa ametekwa airport.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post