Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mlinzi Abdallah Haji Shaibu (Ninja) tayari amefikia makubaliano ya kuitumikia Kagera Sugar kuelekea msimu ujao.
Inaelezwa amesaini mkataba wa muda wa miaka miwili na Kagera Sugar .
Ninja alimaliza muda wake wa kuitumikia Yanga na kuwa mchezaji huru lakini kagera waliipambania saini yake tangu alipomaliza muda wake Yanga.
Post a Comment