Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kwa mujibu wa Shirikisho la Takwimu Duniani (IFFHS), Yanga imepanda kwa nafasi nne katika viwango vya ubora barani Afrika kwa mwezi Juni 2023
Takwimu zilizotolewa na IFFHS kwa mwezi Juni 2023, zinaonyesha Yanga inashika nafasi ya sita kutoka nafasi ya 10 ya mwezi Mei
Hii hapa orodha ya klabu 10 bora Afrika;
1. Al Ahly
2. Wydad Athletic
3. Zamalek
4. Pyramids
5. Sundowns
6. Young Africans
7. Raja
8. AS FAR
9. Future FC
10. CR Belouizdad
Takwimu za IFFHS zinazingatia michuano yote ambayo timu imeshiriki,
Post a Comment