Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Yanga ilihitimisha msimu jana kwa kutwaa kombe la Shirikisho la Aza (ASFC) baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanjwa wa Mkwakwani
Kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam leo na kutakuwa na Parade ya kusherehekea mataji matatu ambayo Wananchi wameyatwaa msimu huu
Parade itaanzia Karume, kupitia Msimbazi na kuelekea Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani
Hapo Jangwani moto utawaka! kwani kutashushwa burudani kutoka kwa Mwananchi Nasib Abdul maarudfu Diamond Platinumz
Wasanii wengine watakaotoa burudani ni pamoja na Dullah Makabila, Sir J, Mchina Mweusi na Foby
Post a Comment