Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga sc imetangaza kuachana na Kocha wao wa Magolikipa Milton Nienov hivyo hatokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo kwa msimu ujao 2023/2024.
Klabu ya Yanga sc imetangaza kuachana na Kocha wao wa Magolikipa Milton Nienov hivyo hatokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo kwa msimu ujao 2023/2024. Kocha huyo amehudumu kwenye timu hiyo kwa misimu miwili kama Kocha wa Magolikipa wa Yanga SC.
Post a Comment