Waziri mkuu Kassim Majaliwa apiga simu wasafi Fm atoa kauli hii kuhusu Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa amewaipongeza klabu ya Yanga kwa hatua ya kumaliza nafasi ya pili kwenye Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)


Majaliwa meeleza kufurahishwa na hatua kubwa waliyofikia Yanga na akisema ni kanuni pekee imewanyima Kombe hilo lakini waliupiga mwingi


Majaliwa ameyasema hayo baada ya kupiga simu kituo cha Radio Cha Wasafi wakati Rais wa Yanga Hersi Said akifanyiwa mahojiano asubuhi ya leo Jumatatu


"Nawapongeza sana Yanga hakika mlicheza mpira mkubwa na mkafanikiwa kushinda kwa maana kubwa sisi ndio washindi ni kanuni pekee ndio imewanyima kombe lakini tuliwazidi Waalgeria," amesema Majaliwa

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post