Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chana akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu wametembelea kambi ya timu ya Yanga iliyowekwa nchini humo kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiano fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi, Juni 03 katika uwanja wa July 05 1962 saa nne usiku
Post a Comment