Viingilio; Simba vs Polisi Tanzania leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Leo Jumanne Simba itashuka uwanja wa Azam Complex, kumenyana na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC


Ni moja ya mechi mbili za kukamilisha msimu ambapo mchezo wa pili dhidi ya Coastal Union utapigwa Ijumaa


Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema huu ni mchezo maalum kwa Wanasimba 'kumwagilia mioyo'


Ni mechi ya heshima kwa Simba kuhitimisha msimu kwa ushindi katika mechi zote mbili zilizobaki


Viingilio vya mchezo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post