TUZOZATFF: Hiki hapa kikosi bora cha msimu 2022/23, Simba wafunika

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Simba imefunika katika kikosi bora cha msimu Ligi Kuu ya NBC baada ya kufanikiwa kuingiza wachezaji sita(6), wengi kuliko Klabu nyingine yoyote.


Klabu ya Yanga ambao ndio mabingwa ndio wanaofuata katika orodha wakiwa wametoa wachezaji wanne (4) katika kikosi bora cha msimu.


Klabu ya Singida Big Stars imetoa mchezaji mmoja, huku kikosi hiko kikiwa kimeundwa na wachezaji kutoka timu tatu tu na kocha akiwa ni Nasreddine Nabi kutoka Young Africans.


Tazama hapa chini Kikosi bora cha msimu;


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post